Maombolezo ya Imam Husein Duniani: Brazil
Habari picha/ maombolezo ya mauaji ya Imam Husein (a.s) katika mji wa Sao Paulo
Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: kufuatia kuandama kwa mwezi mtukufu wa Muharram, mwezi wa majonzo na masikitiko kwa Waislamu kwa kuuwawa kikatili kwa Imam Husein (a.s) mjukuu wa bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w) katika mji wa Karbala mnamo mwaka wa 61 A.H, wafuasi wa madhehebu ya AhlulBayt (a.s) nchini Brazili wameanza kufanya maombolezo yalio hodhuriwa na waumini hao katika mji huo.
25 Septemba 2017 - 13:26
Msimbo wa Habari: 856329